
WAPIGA KURA CCM WAMBANANISHA MGOMBEA KITANDULA KWA KUMUULIZA MASWALI MAGUMU
Na Mwandishi Wetu KATIKA hali isiyo ya kawaida, Mbunge wa Mkinga anayemaliza muda wake, Dastan Kitandula amekerwa kuuliza maswali chokonozi aliyodai yamepangwa na washindani wake kisiasa. Kitandula ambaye pia ni Naibu Waziri Maliasili alionyesha kukerwa kwa kuuliza maswali hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni ya kuomba ridhaa ya wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili…