TFS Yaendeleza Mafunzo kwa Wahifadhi
Iringa. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeendelea kuendesha ziara za mafunzo kwa wahifadhi, kwa lengo la kujengea ujuzi na uelewa wa kushughulikia mashamba ya miti na kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao. Wahifadhi 15 kutoka Shamba la Miti Buhigwe – Makere walitembelea Shamba la Miti Sao Hill, wilayani Mufindi, Agosti 20, 2025, kujionea…