
Kujihesabia haki kila jambo kunaweza kukuangamiza
Tumsifu Yesu kristu. Nakusalimu kwa Jina la Bwana wetu Yesu kristo aliye hai. Ninamtukuza Mungu kwa ajili yako kwa kuendelea kuachilia neema ya uhai kwako na kwa familia yako. Ni imani yangu kuwa unaendeleaa vizuri katika safari hii ya kuutafuta ufalme wa Mungu. Mungu akubariki. Nikukaribishe kuungana nami katika tafakari ya ujumbe wa leo unaosema,…