
JAPAN KUWAJENGEA UWEZO VIJANA WA TANZANIA KATIKA SEKTA YA UJENZI
:::::::::: Tanzania na Japan zimesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano (MoU) katika uendelezaji wa rasilimali watu katika sekta ya ujenzi. Uwekaji saini wa MoU hiyo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) na Naibu Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii (anayeshughulikia Miradi ya…