
BILIONI 26.15 ZAONDOA KERO YA MAFURIKO ENEO LA MTANANA
::::::::: Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) wameweza kuondoa kero ya mafuriko ya mara kwa mara ya maji yanayotokana na mvua katika eneo la Mtanana mkoani Dodoma kwa kunyanyua tuta la barabara wenye urefu wa kilometa sita ambao umegharimu Bilioni 26.15 Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zuhura Amani amesema kuwa…