Mpunga Mkubwa Upo Mechi za Leo

NI Jumatano nyingi kabisa ya mwezi Agosti ambayo imekuja kukuneemesha ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet kwani mechi nyingi zinaendelea kutoka ligi mbalimbali. Ili kutentengeza pesa bashiri na Meridianbet leo. Mechi za kufuzu Ligi ya Mabingwa yaani UEFA zinaendelea ambapo leo hii Fenerbahce Instanbul atakuwa nyumbani ukiwasha dhidi ya SL Benfica ya kule Ureno. Vijana…

Read More

Naibu Waziri Mkuu kuzindua teknolojia ya kuondoa uvimbe bila upasuaji

Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu, Dotto Biteko anatarajiwa kuzindua teknolojia mpya ya kuondoa uvimbe mwilini bila upasuaji inayofahamika kama High-Intensity Focused Ultrasound (HIFU). Uzinduzi wa teknolojia hiyo utafanyika tarehe 26 mwezi huu kwenye hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam. Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kauriki Hospital, Dk Onesmo Kaganda wakati…

Read More

Hiki hapa chanzo wanafunzi kuacha shule

Dar es Salaam. Mwanafunzi mmoja kati ya 24 wa shule za msingi nchini amechelewa kuanza shule, kwa mujibu wa takwimu mpya za umri wa wanafunzi hao mwaka 2025. Wadau wanasema, watoto wanaoanza shule kwa kuchelewa hukumbana na changamoto mbalimbali za kifikra na kihisia kwani wanakuwa na tofauti ya kimakuzi na rika lao darasani. Hii inaweza…

Read More

Askofu Nyaisonga: Vijana msitumike kwenye uchaguzi

Mbeya. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya, Mhashamu Gervas Nyaisonga amekemea tabia ya baadhi ya vijana kutumika kwenye uchaguzi, matukio ya utekaji na mauaji ya watu wasio na hatia. Mbali na kauli hiyo amewataka vijana kuepuka kujiingiza kwenye biashara haramu, uraibu wa pombe na mmomonyoko wa maadili hususan kuelekea uchaguzi mkuu wa…

Read More

AKES yafadhili wawili mtalaa wa kimataifa

Dar es Salaam. Shirika la Huduma za Elimu la Aga Khan (AKES) kwa kushirikiana na Benki ya DTB limetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wawili kujiunga na programu ya diploma katika mtalaa wa kimataifa unaofahamika kama International Baccalaureate (IB). Wanafunzi hao, Munir Athuman kutoka Shule ya Sekondari Istiqama mkoani Tanga na Simin Alladin kutoka sekondari…

Read More