
MCT YAVITAKA VYOMBO VYA HABARI NCHINI KUANZISHA MADAWATI YA USHAURI WA KISHERIA.
Na Vero Ignatus Arusha. Vyombo vya habari nchini vimetakiwa kuanzisha na kuendeleza madawati ya sheria,yatakayo wasaidia kuwaondoa waandishi wa habari kuingia katika makosa ya kisheria kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Rai hiyo imetolewa leo Agosti 20,2025 Kijijini Arusha na Katibu mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ernest Sungura,katika mafunzo na msaada wa kisheria kwa waandishi wa…