
UTT AMIS YAZINDUA TAWI JIPYA KAHAMA
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mhe. Frank Nkinda na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa UTT AMIS, Prof. Faustine Kamuzora (kulia) wakikata utepe ishara ya uzinduzi wa Tawi ya UTT AMIS – Kahama Mkoani Shinyanga Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Kampuni ya Uwekezaji ya UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS) imezindua…