
SERIKALI HAITASITA KUWACHUKULIA HATUA WANAOHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI- DC MGENI
Na WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni, ameonya kuwa serikali haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria wananchi watakaobainika kuharibu miundombinu ya maji, kwani kitendo hicho ni sawa na uhujumu uchumi. Kasilda alitoa kauli hiyo leo wakati akimkabidhi cheti cha pongezi Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa…