
UCHAMBUZI: Hongereni wanawake lakini safari bado ndefu
Kwa muda mrefu mjadala kuhusu nafasi ya wanawake katika siasa na uongozi nchini umekuwa ukichukua sura mpya kila uchao. Harakati za kuwatia moyo wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi kisiasa zimekuwa zikifanyika kwa hatua zinazolenga kusudio mahsusi. Leo hii tunashuhudia matunda ya harakati hizo, lakini pia changamoto na wajibu mkubwa uliopo mbele ya wale waliopata…