ASCENDING AFRICA SETS SAIL WITH THE JAHAZI PROJECT, EXPANDING ITS MISSION TO PROTECT EAST AFRICA’S BLUE ECONOMY

     Dar es Salaam, Tanzania – August 19, 2025 Ascending Africa today announced the transformation of its flagship marine conservation initiative from Kilindini to The Jahazi Project; a move that signals a broadened scope, renewed vigor, and deeper commitment to protecting the East African coast and Southwest Indian Ocean nations. The rebrand comes as…

Read More

Suluhu yazipeleka Sudan, Senegal robo fainali CHAN

SULUHU kati ya Sudan na Senegal imezivusha timu hizo kutinga robo fainali ya CHAN baada ya Congo kukubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Nigeria kwenye mchezo uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Sudan na Senegal zimetinga hatua hiyo baada ya zote kufikisha pointi tano tofauti ikiwa ni mabao ya kufunga na kufungwa, hivyo timu hizo…

Read More

MPANGO BORA WA UFUGAJI NYUKI WAWAFIKIA MACHIFU RUKWA

………………. Na Sixmund Begashe, Rukwa.  Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imewakabidhi zaidi ya Mizinga 20O ya nyuki kwa Machifu wa Mkoa wa Rukwa ikiwa sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Ufungaji Nyuki kwa Tanzania iliyo Bora ujulikanao kama ‘Achia Shoka Kamata Mzinga’. Akikabidhi Mizinga hiyo kwa…

Read More

WAKAZI SINZA E WAHOJI ZILIPO OFISI ZA SERIKALI YA MTAA

……………….. WAKAZI wa Sinza E, jijini Dar es Salaam, wameibua maswali mazito wakilalamikia kuvamiwa kwa eneo lililokuwa likitumika kama ofisi za Serikali ya Mtaa, huku wakibaki na wasiwasi kuhusu ofisi zao mpya zilipo na namna huduma zitakavyotolewa. Akizungumza leo, Agosti 18, 2025, mbele ya waandishi wa habari, Paul Luvinga, mkazi wa eneo hilo, amesema eneo…

Read More

Mgogoro wa misaada ya Gaza hivi karibuni, mafuriko mabaya nchini India na Pakistan, kupunguzwa kwa fedha kuzidisha ukame wa Somalia – maswala ya ulimwengu

Katika tahadhari kutoka kwa mpango wa chakula duniani (WFP), wakala Alisema Kwamba watu wa nusu milioni “wako kwenye ukingo wa njaa”, madai ambayo yanaungwa mkono na mashirika mengi ya kibinadamu. Takwimu za hivi karibuni za wasiwasi zinaonyesha utapiamlo mkubwa wa papo hapo. Kusitisha kwa mapigano ndio njia pekee ya kuongeza usafirishaji wa misaada, shirika la…

Read More

BAKARI KIMWANGA ACHUKUA FOMU KUWANIA UDIWANI KATA YA MAKURUMLA,AAHIDI MAENDELEO

:::::::::: Na Mwandishi Wetu MGOMBEA wa nafasi ya udiwani Kata ya Makurumla iliyopo Magomeni mkoani Dar es Salaam kwa tıketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Bakari Kimwanga amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo huku akiahidi kuendelea kushirikiana na wana Makurumla kukamilisha miradi ya maendeleo. Akizungumza leo Agosti 19,2025 Bakari Kimwanga amesema wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wakiongozwa…

Read More

Equity Bank Yaleta Mwanga Mpya kwa Wafanyabiashara Kupata Mikopo

Benki ya Equity imeandaa kongamano maalum kwa ajili ya wafanyabiashara na wajasiriamali, likiwa na lengo kuu la kuwajengea uwezo wa namna ya kukuza biashara na kupata fursa za kifedha kupitia mikopo. Kongamano hili limekusanya wadau mbalimbali kutoka sekta ya biashara na fedha kwa ajili ya kujadili changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wengi nchini, hususan tatizo la kutopata…

Read More

Kibano wakwepa kodi kulipa mamilioni

Shinyanga.  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mtu yeyote atakayeingilia mfumo wa Mamlaka hiyo bila idhini adhabu yake kwa mtu binafsi ni kuanzia Sh20 milioni na kwa kampuni Sh60 milioni kutokana na kuisababishia hasara Serikali. Hayo yameelezwa leo Agosti 19 na Ofisa Mkuu msimamizi wa kodi TRA, Hamad Mterry wakati akizungumza na wafanyabiashara ambao ni…

Read More