
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE KITAIFA 2025.
:::::::::: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa viongozi kutambua wajibu wa kuetekeleza Dira ya Taifa 2050 na mipango ya maendeleo ya sekta ya kilimo ambayo imedhamiria kuongeza kasi ya ukuaji wa kilimo hadi kufikia asilimia 10 kwa mwaka, ifikapo 2030 na kuendelea. Makamu wa Rais ametoa…