
Asilimia 63 ya shule za msingi nchini zina uhaba wa walimu 2025
Dar es Salaam. Takribani asilimia 63 ya shule za msingi za serikali nchini zina upungufu wa walimu mwaka 2025, takwimu za Msingi za Elimu (Best 2025) zinaonyesha. Kwa mujibu wa takwimu hizo jumla ya shule 11,436 kati ya 18,158 za msingi za serikali, mwalimu mmoja anafundisha zaidi ya wanafunzi 45 katika darasa moja jambo linalotilia…