
JWT TANGA WAMSHUKURU RAIS DKT SAMIA SULUHU KWA KUTATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA
Na Oscar Assenga,TANGA JUMUIYA wa Wafanyabiashara Tanzania (JWT) Mkoa wa Tanga imemshukuru Rais Dkt Samia Sukuhu kwa kutatua kero za wafanyabiashara na hivyo kuwawezesha kufanya shughuli zao kwa ufanisi kutokana kuondolewa kwa vikwazo ambavyo walikwa walikabiliana navyo awali.Hayo yalisemwa leo na Katibu wa JWT mkoa wa Tanga Ismail Masoud wakati akizungumza na waandishi wa habari…