
Tanzania, Kenya, Uganda zaandika rekodi CHAN 2024
TIMU za taifa za Tanzania, Kenya na Uganda zimeandika rekodi mpya katika soka la Afrika baada ya zote kwa pamoja kufuzu hatua ya robo fainali ya mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2024 huku wakiongoza makundi yao. Kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa mashindano hayo, Tanzania, Kenya na Uganda zimepenya hatua…