Mwanahabari Sharon Sauwa afariki dunia

Mwanahabari mwandamizi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Jumanne Agosti 19, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Baba mzazi wa Sharon, Steven Lamlembe amesema mazishi yatafanyika Agosti 21, 2025 katika makaburi ya Pugu Mwakenga nyuma ya Shule ya Sekondari ya Pugu jijini Dar es…

Read More

KMKM yaanza mikwara, yawatisha Wadjibouti mapema

KIKOSI cha KMKM kinaendelea kujifua hapa visiwani Zanzibar kujiandaa na mechi ya raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho dhidi ya As Port ya Djibouti, huku kocha mkuu wa timu huyo  Ame Msimu akipiga mkwara mzito. Kocha huyo amesema hana presha kwenda kuivaa AS Port kwa vile walishawahi kuvaana nao, hivyo wanajua namna ya kuwasulubu…

Read More

Mwandishi Mwananchi Sharon Sauwa afariki dunia

Dar es Salaam. Mwanahabari mwandamizi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Jumanne Agosti 19, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Baba mzazi wa Sharon, Steven Lamlembe amesema mazishi yatafanyika Agosti 21, 2025 katika makaburi ya Pugu Mwakenga nyuma ya Shule ya Sekondari ya Pugu…

Read More

Mwansishi Mwananchi Sharon Sauwa afariki dunia

Dar es Salaam. Mwanahabari mwandamizi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Jumanne Agosti 19, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Baba mzazi wa Sharon, Steven Lamlembe amesema mazishi yatafanyika Agosti 21, 2025 katika makaburi ya Pugu Mwakenga nyuma ya Shule ya Sekondari ya Pugu…

Read More

Mambo yaliyojitokeza mkutano wa Trump na Zelensky

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na viongozi wa Ulaya wamefanya mazungumzo kuhusu vita vya Ukraine na Rais wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House. Mkutano huo wa kihistoria kati ya Zelensky na Trump na vigogo wa Ulaya umekuja ikiwa ni siku chache baada ya mkutano  wa Alaska wa Rais wa Marekani na Rais…

Read More