
Serikali yaipongeza NMB kuchangia Mil. 30/- Taifa Stars CHAN 2024
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM SERIKALI imeishukuru na kuipongeza Benki ya NMB, kwa mchango wa Sh. Mil. 30 iliyoutoa kuhamasisha mashabiki na wachezaji wa Taifa Stars kuelekea mechi ya robo fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Nyota wa Ndani (CHAN 2024), dhidi ya Morocco, itakayopigwa Ijumaa Agosti 22, jijini Dar es…