
TIMU YA WATAALAMU KUTOKA SADC WATEMBELEA TMA KUKAGUA NA KUKABIDHI VIFAA VYA HALI YA HEWA
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea timu ya wataalamu kutoka Kituo cha Kikanda cha Huduma za Hali ya Hewa cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Climate Service Centre – SADC CSC) ambao wanaratibu utekelezaji wa mradi wa SADC wa kuboresha huduma za hali ya hewa kwa…