
HANDENI MJI YAJA NA MWAROBAINI WA UTORO SHULENI
HANDENI MJI YAJA NA MWAROBAINI WA UTORO SHULENI Na Mwandishi Wetu, Handeni HALMASHAURI ya Mji Handeni, mkoani Tanga kupitia Idara ya Elimu Msingi imepongezwa kwa kubuni mkakati maalum unaoongeza uwajibikaji wa wazazi katika kukabiliana na utoro shuleni. Pongezi hizo zimetolewa Agosti 18, 2025 mjini hapa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, Mhe….