
Beki la kazi kuifuata Simba Misri
SIMBA inapambana kuweka mambo sawa katika maeneo mbalimbali ya uwanjani ikiwa kambini nchini Misri, ambapo ikiwa huko imeshambulisha vichwa kadhaa vya maana tu katika kikosi chake vinavyosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Msimbazi. Taarifa mpya ni kwamba timu hiyo inapambana kumalizana na beki mmoja wa kati ili akaungane na kikosi hicho kilichopo Cairo, kikijifua kwa…