Yona Amos ajihami mapema Ligi Kuu Bara
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos aliyemaliza Ligi Kuu Bara msimu uliopita akiwa na ‘clean sheet’ 11, amesema kuna mambo mengi ameyafanyia marekebisho na kuongeza ujuzi wa namna ya kuimarisha ulinzi golini. Amesema alipata muda wa kuzitazama mechi za msimu uliyopita, zilizomsaidia kuona baadhi ya mapungufu aliyoyafanyia kazi, kuhakikisha huduma yake inakuwa bora kwa timu….