
Wanawake waongoza mikopo kidijitali | Mwananchi
Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza nchini, wanawake wanamiliki akaunti za mikopo ya kidijitali nyingi zaidi kuliko wanaume, jambo linalowafanya kuwa wakopaji wakuu katika sekta ya teknolojia ya fedha inayokua kwa kasi. Takwimu mpya kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Ofisi za Taarifa za Wakopaji (Credit Reference Bureaus) zinaonesha idadi ya akaunti za…