Bashiri Mapema Anayeshuka Daraja EPL 2025/26

MSIMU mpya tayari umeanza na wakali wa ubashiri Meridianbet wamekupatia ODDS KALI kwa timu ambazo zinaweza kushuka daraja au zenye nafasi kubwa ya kwenda kushiriki CHAMPIONSHIP. Je bashiri yako unampa nani?. Tandika jamvi la kijanja hapa.
Nafasi kwanza ya kushuka daraja msimu huu mpya wa 2025/26 wanapewa Burnley wakiwa na ODDS 1.30. Klabu hii imepanda daraja msimu huu baada ya msimu uliopita kufanya vizuri ligi daraja la kwanza. Mpaka sasa kwenye mechi 3 ambazo imecheza kwenye ligi kuu amekusanya pointi 3 pekee baada ya kushinda mechi moja na kupoteza mechi mbili. Je hiyo inatosha kuona kuwa klabu hii itashuka daraja msimu ujao?. Bashiri hapa.
Huku nafasi ya pili ya kushuka daraja yenye ODDS 1.83 msimu ujao anapewa Sunderland AFC ambaye nae pia amepanda daraja msimu huu huku mechi ya kwanza ya ligi akianza kwa kishindo baada ya kupata ushindi mzuri kabisa. Akapoteza mechi ya pili na kabla ya mapumziko ya Kimataifa akashinda mechi yake hivyo mpaka sasa ana pointi 6. Je timu hiyo itashuka daraja msimu ujao?. Jisajili hapa sasa.
Maokoto mengi yapo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Pale Meridianbet anayepewa nafasi ya tatu ya kutoshiriki EPL msimu ujao ni Wolves ambaye mpaka sasa ana ODDS 1.83 pia. Klabu hii msimu uliopita ilimaliza nafasi ya 16 nafasi ambayo sio nzuri. Wakali wa ubashiri wameona timu hii ina nafasi kubwa ya kwenda Ligi daraja la kwanza msimu ujao kwani mpaka haina pointi yoyote kwenye mechi 3 alizocheza. Tandika jamvi hapa.
Leeds United ni moja ya timu ambazo nazo zipo kwenye nafasi kubwa ya kushuka daraja msimu ujao kwani wamepewa ODDS 3.00 hadi sasa. Timu hiyo kwasasa kwenye michezo mitatu ambayo imecheza, imekusanya pointi zake 4 pekee ikishinda mechi moja, sare moja na kupoteza mchezo mmoja. Je klabu hii inaweza kushuka daraja msimu ujao?. Suka jamvi hapa.
Nao West Ham United wapo kwenye nafasi ya 5 kwenye timu ambazo zinaweza kutoshiriki Ligi kuu ya Uingereza msimu ujao kwani hadi sasa wana ODDS 3.50. Klabu hii chini ya kocha mkuu Graham Potter walianza ligi vibaya na hatimaye Jumapili waliweza kupata ushindi wa kwanza. Je Beti yako unaiweka kwa Wagonga Nyundo kushuka daraja?. Bashiri hapa.
Brentford nayo ni timu ya sita ambayo Meridianbet inaona kuwa msimu ujao inaweza kushuka daraja kutokana na kuuza wachezaji wao muhimu dirisha hili kubwa la usajili. Nyuki wamewauza Mbeumo, Wissa lakini pia waliachana na kocha wao Thomas Frank ambaye alikuwa ni moja ya makocha wazuri pale EPL. 4.00 ndio ODDS za klabu hii kuondolewa ligi kuu msimu ujao. Je wewe unaona kuwa Nyuki hawatatoboa msimu ujao?. Beti hapa.