………….
Wananchi na wakereketwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kwa wingi kuonesha imani yao kwa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea kote nchini ambako kesho anatarajia kufanya Kampeni katika mkoa wa Songwe.