Majaliwa Kufungua Kongamano La Chama Cha Madereva – Global Publishers



WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Septemba 02, 2025 anafungua Kongamano la nne la Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania, linalofanyika katika Kituo cha mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Mkutano huo unakaulimbiu isemayo:- DEREVA WA SERIKALI, EPUKA AJALI, LINDA GARI LAKO NA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA NA OKTOBA SHIRIKI UCHAGUZI MKUU