Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. Shigeki Komatsubara (kushoto) akisalimiana na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Allen Mushi (kulia) baada ya kuwasili Chuo Kikuu Mzumbe kwa ajili ya Hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na UNDP

Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. Shigeki Komatsubara akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili chuo kikuu mzumbe kwa ajili ya hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na UNDP

Msaidizi Mahsusi wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Aloyce Gervas akiongoza itifaki wakati wa hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na UNDP
Mkurugenzi wa Mipango Chuo Kikuu Mzumbe Bw. Edwin Ninde akiwakaribisha washiriki kwenye hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na UNDP

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Allen Mushi akieleza kuwa makubaliano ya Ushirikiano kati ya Mzumbe na UNDP ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa uwekezaji utakaosaidia chuo kujiimarisha kifedha kwa njia mbadala

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Allen Mushi (aliyeketi kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. Shigeki Komatsubara (aliyeketi kulia) wakitia saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano baina ya taasisi hizo

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Allen Mushi (kushoto) akikabidhi zawadi ya kumbukumbu kwa Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. Shigeki Komatsubara (kulia) baada ya kutia saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano baina ya taasisi hizo


Baadhi ya washiriki wakiwemo wajumbe wa menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe na Uongozi wa UNDP Tanzania walioshiriki hafla ya utiaji saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)

Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. ShigekiKomatsubara akieleza kuwa makubaliano kati ya Mzumbe na UNDP yanalenga kuimarisha ubadilishanaji wa maarifa, kukuza vipaji vya wanafunzi na wafanyakazi, na kuendeleza shughuli za kiuchumi za chuo

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo – Taaluma, Utafiti na Ushauri Dkt. Idda Lyatonga akitoa neno la shukrani wakati wa hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na UNDP

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Allen Mushi (aliyeketi katiakti) na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. Shigeki Komatsubara (aliyeketi kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya chuo kikuu mzumbe walioshiriki hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na UNDP

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Allen Mushi (aliyeketi katiakti) na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini Bw. Shigeki Komatsubara (aliyeketi kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya chuo kikuu mzumbe na uongozi wa UNDP walioshiriki hafla ya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na UNDP