
Maporomoko ya Ardhi Yaua Watu 1,000 Darfur, Sudan – Global Publishers
Maporomoko makubwa ya ardhi yamefuta kijiji cha Tarasin kilichopo katika eneo la Darfur, Sudan, na kusababisha vifo vya takribani watu 1,000. Hili limekuwa moja ya majanga mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya karibuni ya taifa hilo. Tukio hilo lilitokea Jumapili baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa mfululizo katika Milima…