Cheza Aviator na Ujishindie Samsung A25 na Meridianbet

MABINGWA wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, wameleta furaha kubwa kwa wateja wao. Kupitia mchezo maarufu wa kindege cha Aviator, sasa unaweza kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25 huku ukiendelea kuingiza faida ya pesa. Hii si promosheni tu, bali ni fursa ya kipekee ya kuongeza msisimko wakati wa kucheza.
Mchezo wa Aviator ni burudani halisi. Unaanza kwa kurusha kindege, na dau lako linaongezeka kila kinapopaa juu, huku odds zikizidi kuongezeka. Siri ya ushindi ni kutoa pesa kabla kindege hakijalipuka. Sasa, na promosheni hii, msisimko unaongezeka zaidi kwani una nafasi ya kujishindia simu ya thamani bila gharama za ziada. Hebu fikiria kuwa rubani wa ndege yako na kutunzwa zawadi kali namna hii.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Promosheni hii rasmi imeanza tarehe 1 Septemba 2025 na itamalizika tarehe 30 Septemba 2025. Kila wiki, Meridianbet itatoa simu mbili mpya za Samsung A25 kila Jumatatu kwa washindi walioteuliwa kulingana na masharti. Ofa hii inapatikana kwa wateja wote, iwe waliopo au wapya, kupitia tovuti rasmi ya meridianbet.co.tz au programu ya simu ya Meridianbet. Hiki ni kipindi cha kipekee cha kujishindia zawadi murua.
Kwa kujisajili na Meridianbet, unakubali vigezo na masharti ya promosheni. Ushiriki ni wa hiari, na kampuni inahifadhi haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni wakati wowote ikiwa kuna sababu za msingi. Usikose fursa hii, jisajili sasa, cheza Aviator, na uwe miongoni mwa washindi wakubwa wa Samsung A25.