Bingwa wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, ameleta promosheni kabambe inayowapa wachezaji wake nafasi ya kipekee ya kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25 kupitia mchezo maarufu wa Aviator.
Promosheni hii, ambayo imeanza rasmi tarehe 1 Septemba 2025 na itaendelea hadi 30 Septemba 2025, inalenga kuongeza msisimko kwa wachezaji kwa kuwapa zawadi ya thamani kila wiki bila gharama ya ziada. Kupitia mchezo wa Aviator, wachezaji wanapata fursa ya kurusha ndege angani huku dau lao likiongezeka kadri ndege inavyopaa. Siri ya ushindi iko kwenye kutoa dau kabla ndege haijalipuka, jambo linalohitaji uamuzi wa haraka na mikakati ya kipekee.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Tofauti na promosheni nyingine, hii inaleta burudani ya kipekee kwa wachezaji kwani mbali na ushindi wa pesa, sasa wanaweza kuondoka na simu mpya kabisa. Kila Jumatatu, Meridianbet itatoa simu mbili kwa washindi waliopatikana kwa kuzingatia masharti ya promosheni. Zawadi hizi zinapatikana kwa wachezaji wote waliopo na wapya, wanaoshiriki kupitia tovuti rasmi ya meridianbet.co.tz au kupitia programu ya simu ya Meridianbet.
Kwa kujisajili, mchezaji anakubali masharti ya promosheni na anakuwa tayari kufuata miongozo yote iliyowekwa. Kampuni inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii pale inapohitajika kwa sababu za msingi.
Kwa mashabiki wa michezo ya kubashiri, hii ni zaidi ya ushindi wa kawaida. Ni safari ya burudani inayokupeleka kwenye zawadi ya kifahari, huku ukifurahia msisimko wa Aviator. Ikiwa wewe ni mpenzi wa michezo ya kubashiri au unatafuta sababu ya kuanza, huu ndio wakati sahihi. Jisajili sasa na Meridianbet, cheza Aviator, na uwe miongoni mwa washindi wa Samsung A25, zawadi inayopaa kama ndege unayoicheza