MO Dewji Ajiondoa Uenyekiti Simba, Amteua Crescentius Magori – Global Publishers
Mwaka mmoja tangu kuteuliwa kuongoza Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, bilionea na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (MO), ametangaza kujiondoa katika nafasi hiyo na kumteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti mpya. Akitangaza uamuzi huo leo, Septemba 4, 2025, MO alisema amebanwa na majukumu binafsi na mara nyingi kukosa muda wa kushiriki…