Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri za Wilaya husika anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi kuomba nafasi za kazi zilizotolewa, kufuatia vibali vya ajira kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
1. HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
Kibali: Kumb. Na. FA.97/228/01/09 cha 25.06.2024
Mwisho wa kutuma maombi: 16 Septemba 2025
2. HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
Mwisho wa kutuma maombi: 16 Septemba 2025
3. HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA
Mwisho wa kutuma maombi: 12 Septemba 2025
4. HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA
Tarehe ya tangazo: 02 Septemba 2025, Mwisho wakutuma maombi ya kazi ni tarehe 14 Septemba, 2025
5. HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME
Tarehe ya tangazo: 01 Septemba 2025, Mwisho wakutuma maombi ya kazi ni tarehe 12 Septemba, 2025.
Kusoma matangazo ya kazi kwa kina fungua lingi hapa chini
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME
Related