Kiwanja Kinauzwa – Bagamoyo, Kaole Magambani – Global Publishers



Kiwanja kipo Bagamoyo, Kaole Magambani (Nyuma ya Bagamoyo Secondary School) katika eneo tulivu na salama.

📏 Ukubwa na Sifa

  • Eneo lina ukubwa wa 848 sqm (limepimwa rasmi)

  • Tambarare, linafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara

  • Ardhi ya kichanga, rahisi kuchimba na kujenga

  • Vipimo vya mipaka (pembeni) vimepimwa vizuri – hakina kona tata

💰 Bei

📞 Mawasiliano
Kwa maelezo zaidi au kutembelea eneo, wasiliana nasi kupitia:
Call / WhatsApp: +255 795 303 038