Mtoko wa Simba, Yanga 2025-26 uko hivi

POINTI 82 ilizovuna katika mechi 30 ilizocheza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 zilitosha kuwafanya Yanga kunyakua ubingwa wa nchi kwa msimu wa nne mfululizo.

Katika mechi hizo 30, Yanga iliibuka na ushindi mara 27, ilitoka sare mara moja na kupoteza mbili, huku ikifunga mabao 83 na kufungwa 10, hivyo ilikuwa na chanya 73 ya tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Kwa msimu uliopita, Yanga ilibeba ubingwa kwa tofauti ya pointi nne dhidi ya mpinzani wake wa jadi, Simba ambayo yenyewe katika mechi 30, ilivuna pointi 78, ikishinda 25, sare tatu na vichapo viwili, huku ikifunga mabao 69 na kufungwa 13, ikiwa na chanya ya mabao 56 kwa maana ya tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26 imewekwa hadharani na mabingwa watetezi Yanga wameshafahamu mtoko wao ulivyo katika mchakamchaka wa kutetea taji hilo.

Mtoko kamili ya Yanga msimu wa 2025/26

-Septemba 24 v  Pamba Jiji (nyumbani)

-Septemba 30 v Mbeya City (ugenini)

-Oktoba 29 v Mtibwa Sugar (nyumbani)

-Novemba 1 v Prisons (ugenini)

-Novemba 4 v KMC (nyumbani)

-Desemba 4 v Namungo (ugenini)

-Desemba 10 v Coastal Union (ugenini)

-Desemba 13 v Simba (nyumbani)

-Januari 30 v Azam (ugenini)

-Februari 3 v Tabora United (ugenini)

-Februari 7 v JKT Tanzania (nyumbani)

-Februari 11 v Mtibwa Sugar (ugenini)

-Februari 18 v Dodoma Jiji (nyumbani)

-Februari 23 v Singida BS (ugenini)

-Februari 26 v Mashujaa (nyumbani)

-Machi 1 v Fountain Gate (nyumbani)

-Machi 4 v Pamba Jiji (ugenini)

-Machi 12 v Mbeya City (nyumbani)

-Machi 15 v TZ Prisons (nyumbani)

-Machi 18 v KMC (ugenini)

-Aprili 4 v Simba (ugenini)

-Aprili 5 v Coastal Union (nyumbani)

-Aprili 12 v Dodoma Jiji (ugenini)

-Aprili 15 v Singida BS (nyumbani)

-Aprili 19 v Namungo (nyumbani)

-Mei 3 v Mashujaa (ugenini)

-Mei 6 v Fountain Gate (ugenini)

-Mei 14 v Azam (nyumbani)

-Mei 20 v v Tabora United (nyumbani)

-Mei 23 v JKT Tanzania (ugenini)

v Fountain Gate (nyumbani)

v Tabora United  (ugenini)

v Mtibwa Sugar (nyumbani)

v Tabora United (nyumbani)

v Coastal Union (nyumbani)

v Fountain Gate  (ugenini)

v JKT Tanzania (nyumbani)

v Coastal Union  (ugenini)