
Mukwala anahesabu saa tu | Mwanaspoti
DIRISHA la usajili la usajili linatarajiwa kufungwa usiku wa leo, huku kukiwa na sapraizi kubwa kwa klabu ya Simba baada kutema mastraika wawili walioibeba timu hiyo msimu uliopita, huku winga aliyekuwa akitajwa huenda angefyekwa, akisalimika kama zali. Ipo hivi. Msimu uliopita, Simba iliongozwa eneo la mbele ya washambuliaji Steven Mukwala na Leonel Ateba kila mmoja…