MichezoHersi: Tuligomea Sh 5Bil, tutamuuza hapa Admin3 hours ago01 mins 7 RAIS wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said, amefichua kwamba wakati wa presha kubwa ya kutakiwa kuuzwa kwa mshambuliaji wa timu hiyo, Clement Mzize, klabu hiyo ilipokea ofa ya Dola 2 Milioni. Post navigation Previous: Dk Msolla ashindwa kuvumilia, atoa tano kwa kina HersiNext: TANZANIA KUSHUHUDIA KUPATWA KWA MWEZI KIKAMILIFU LEO