ULEGA AOMBA KURA KWA AJILI YA DKT. SAMIA, UBUNGE NA MADIWANI MKURANGA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga, Mkoa wa Pwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Alhaj Abdallah Ulega, leo Jumatatu Septemba 8, 2025 ameendelea na mikutano yake ya kampeni kwa kuwahutubia wananchi wa Kijiji cha Bupu katika mkutano wa hadhara. Katika hotuba yake,Ulega alianza kwa kuwaomba wananchi waendelee kumuamini na kumpa kura za kishindo Rais wa…