Simba yalipa kisasi kwa Gor Mahia
TAMASHA la Simba Day limehitimishwa kwa mechi ya kirafiki wa kimataifa uliozikutanisha Simba dhidi ya Gor Mahia ya Kenya. Mchezo huo uliofanyika leo Septemba 10, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0, huku ikilipa kisasi mbele ya Gor Mahia. Kisasi hicho Simba imelipa baada ya mara…