LEO ndiyo ile siku ya kipekee kwa Simba na mashabiki wa klabu hiyo, iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu. Ni kilele cha Tamasha la Simba Day na ndiyo siku maalumu ya Wanalunyasi hao kutambulisha kikosi kizima kwa msimu mpya wa 2025/2026.
Huu ni msimu wa 16 wa Simba Day tangu lilipoanza rasmi mwaka 2009, chini ya Mwenyekiti wa zamani wa wa kikosi hicho, Hassan Dalali na aliyekuwa katibu wake mkuu, Mwina Kaduguda na kujizoelea umaarufu mkubwa hapa nchini.
Wakati ukisubiri kwenda Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mubashara chama jipya la Simba lenye mabadiliko kiasi, Mwanaspoti linakuletea skwadi nzima ya Msimbazi kwa msimu ujao.
Alikotoka: Raja Casablanca.
Alikotoka:Raja Casablanca.
Alikotoka: Raja Casablanca.
Alikotoka: Raja Casablanca.
Alipotoka: Timu ya Vijana
Alipotoka: Timu ya vijana
Jina: David Kameta ‘Duchu’
Alipotoka: Racing Club Abidjan
Jina: Morice Abraham
Alipotoka:FK Spartak Subotica
Jina: Semfuko Charles
Jina: Ladaki Chasambi
Alipotoka: Stella Club d’Adjamé