MGOMBEA URAIS UDP KUIPATIA CHATO MKOA MPYA

Mgombea urais kupitia chama cha UDP, Saum Rashid, akiomba kura kwa wananchi wa wilaya ya Chato. Wananchi wakiendelea kusikiliza sera za mgombea urais kupitia chama cha UDP …………… MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha United Democratic party (UDP), Saum Rashid, ameahidi kuipandisha hadhi wilaya ya Chato kuwa mkoa mpya iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya…

Read More

MAKATIBU WAKUU WA MALIASILI NA UTALII EAC WAKUTANA ARUSHA.

…………………….. Na Sixmund Begashe, Arusha  Makatibu wakuu wanaoshughulikia Maliasili na Utalii Afrika Mashariki wamekutana Jijini Arusha kwa lengo la kukamilisha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Mawaziri wa sekta hiyo kutoka nchini zinazo unda Jumuhia ya Afrika Mashariki (EAC) unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 12  Septemba 2025 Jijini Arusha Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara…

Read More

MALIASILI, MAHAKAMA KUIMARISHA USHIRIKIANO KULINDA HIFADHI

……………. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara anayeshughulikia Uhifadhi, Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba ametoa kauli hiyo jijini Arusha alipokuwa akifunga mafunzo ya kikazi kwa majaji, wadau wa haki jinai na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) yaliyolenga kuimarisha uhifadhi endelevu wa maliasili. “Miongoni mwa hatua tunazochukua ni kutoa elimu ya uhifadhi, kuimarisha uwajibikaji wa…

Read More

ZEC yateua 11 kugombea urais, wakabidhiwa magari

Unguja. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewateua wagombea wote 11 waliorejesha fomu kuwania kiti cha urais Zanzibar. Pamoja na kuwapa vyeti vya uteuzi, ili kuweka mazingira ya usawa, haki na usalama kwa wagombea wote, wamewapa magari mapya aina ya Toyota Land Cruiser (VXR), mlinzi na dereva. Akizungumza wakati wa kutangaza uteuzi wao, leo Septemba 11,…

Read More

Mahakama yamrudisha Mpina INEC | Mwananchi

Dodoma/Dar. Mgombea urais wa Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina ameshinda kesi dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kuhusu shauri la maombi ya Kikatiba akipinga kuenguliwa katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mpina alienguliwa katika kinyang’anyiro hicho na INEC Agosti 26, 2025, hivyo…

Read More

Wanafunzi 12 kizimbani wakidaiwa kumuua mwenzao

Arusha. Wanafunzi 12 wa Shule ya Sekondari Qash, wamepandishwa tena kizimbani Mahakama ya Wilaya Babati, wakikabiliwa na shtaka moja la mauaji ya mwanafunzi mwenzao, Yohana Konki. Wanafunzi hao waliofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Septemba mosi 2025, leo wamepandishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kesi dhidi yao kutajwa na imepangwa kutajwa tena Septemba 24. Katika…

Read More