Wiki ya Wananchi, kishindo cha vaibu
KILELE cha wiki ya Mwananchi kimehitimishwa kwa kishindo, huku kila shabiki akitoka meno nje akitamba mambo freshi na msimu mpya uanze. Yanga ilifanya tamasha hilo leo ambapo kilele chake kilikuwa palepale Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam na mashabiki wa klabu hiyo kufurika kwa wingi. *Vinywaji kibao*Mapema tu ilikuwa mashabiki wakiwa wanaingia uwanjani,…