Klabu ya Azam Fc imetangaza kumsainisha kiungo Faisal Salum ‘Feitoto’ nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027.
Mkataba wa awali wa nyota huyo wa zamani wa Young Africans Sc ulikuwa utamatike Juni 2026 lakini sasa kiungo huyo aliyekuwa akihusishwa kwenda Simba Sc ameongeza mwaka mmoja zaidi.
Related