
Kombe lampa mzuka kocha Pamba Jiji
SAA chache tangu Pamba Jiji itwae kombe ikiwa Kenya mbele ya wenyeji wao, Shabana FC, kocha mkuu wa timu hiyo, Francis Baraza amesema kikosi hicho kipo tayari kwa mechi ya kwanza wa Ligi dhidi ya Namungo itakayopigwa Septemba 18. Pamba Jiji iliyotwaa taji hilo kwa penalti 5-4 baada ya sare ya mabao 2-2 itaanza Ligi…