MPINA ATEULIWA NA TUME KUWANIA URAIS 2025

 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele
akimkakabidhi nakala ya fomu za uteuzi kwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance
for Change and Transparency (ACT – WAZALENDO), Mhe. Luhaga Joelson Mpina aliyeambatana
na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej (kushoto) leo Septemba 13, 2025 Jijini
Dar es Salaam, baada ya wagombea hao kuteuliwa na Tume kuwania nafasi hizo
katika uchaguzi Mkuu wa utakao fanyika Oktoba 29, 2025. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akisaini na kupiga muhuri fomu za uteuzi kwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT – WAZALENDO)

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.

Baadhi ya viongozi wa ACT WAZALENDO wakiwa katika uteuzi wa mgombea Urais wa chama chao.


Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT – WAZALENDO), Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej. 


Wajumbe wa Tume wakiwa katika Uteuzi