
Wananchi Kigoma waeleza matumaini yao kwa mgombea urais wa CCM
Kigoma. Wananchi wa Kigoma wameeleza matumaini yao kwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, wakimtaka atekeleze ahadi alizozitoa kwenye huduma mbalimbali za kijamii. Wananchi hao wameeleza hayo kwa nyakati tofauti leo Sepemba 14, 2025 kwenye mikutano ya kampeni ya mgombea huyo wa urais, ambayo ameifanya…