WAFANYABIASHARA 186 WAKITANZANIA WAHITIMU KATIKA MPANGO WA MAENDELEO YA USAMBAZAJI BIDHAA KUPITIA MKUTANO WA KWANZA WA BIASHARA
-Wajasiriamali wadogo na wakati (SMEs) wa Kitanzania wamehitimu kwenye Mpango wa Maendeleo ya Usambazaji bidhaa kwa kujengewa ujuzi na mitandao ya kushindana katika minyororo ya usambazaji ya kampuni, serikali na masoko ya kikanda chini ya AfCFTA. -Ushirikiano na GAIN umeleta mkondo maalum unaojikita katika kusambaza lishe, kwa kusaidia biashara za chakula na kilimo ambazo si…