Mke wa Dk Nchimbi amuombea kura Rais Samia, wabunge Tanga

Mke wa Mgombea mwenza wa CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi Mama Jane Nchimbi akimuombea kura Rais Samia, wabunge Tanga, leo Jumatatu Septemba 15, 2025 katika Uwanja wa Mazoezi Mjini Korogwe, Tanga.


MamaJane Nchimbi ni mwenyeji wa Korogwe alipata fursa hiyo wakati Dk Nchimbi alipokuwa akiendelea na ziara ya kusaka kura mkoani humo.