
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 16, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
MGOMBEA Urais mwenza kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kukipigia kura Chama hicho ili kishinde kwa kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025. Ametoa ombi hilo alipokuwa akihutubia maelfu ya Wananchi waliofika kumsikiliza,katika uwanja wa Kigoda leo Septemba 15, 2025 wilayani…
Mgombea Ubunge Jimbo la Itwangi Azza Hillal Hamad akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Jimbo la SolwaMgombea Ubunge Jimbo la Itwangi Azza Hillal Hamad akiomba kura kwa ajili ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahmed Salum, Madiwani wa CCM na yeye mwenyewe akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Jimbo la…
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Solwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Ahmed Ally Salum akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Jimbo la Solwa, kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Vijijini, Edward NgelelaNa Marco Maduhu, Shinyanga Mgombea Ubunge wa Jimbo la Solwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Ahmed Ally Salum, amewaomba wana CCM kuvunja makundi…
Na Hafidh Kido KATIKA Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi sasa ni 16 baada ya mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo kuenguliwa ambapo kwa sasa vyama vilivyopo kwenye kampeni ni; CCM, NCCR-Mageuzi, CUF, CHAUMMA,TADEA, TLP, MAKINI, NLD, SAU, DP, UPDP, CCK, AAFP, UMD, UDP na NRA. Chama…
Ulimwengu unarudi kutoka kwa usawa wa kijinsia, na gharama inahesabiwa katika maisha, haki, na fursa. Miaka mitano kutoka Malengo endelevu ya maendeleo (SDGS) Tarehe ya mwisho mnamo 2030, hakuna malengo yoyote ya usawa wa kijinsia yaliyo kwenye wimbo. Hiyo ni kulingana na mwaka huu Ripoti ya kijinsia ya SDG Ilizinduliwa Jumatatu na Wanawake wa UN…
Mjumbe maalum wa UN Hans Grundberg aliiambia Baraza la Usalama Siku ya Jumatatu kwamba machafuko huko Yemen hayawezi kuonekana kwa kutengwa. “Yemen ni kioo na ukuzaji wa hali tete ya mkoa,”Yeye Alisemaakigundua kuwa maendeleo kuelekea amani yanazuiliwa na mashindano ya kikanda, mienendo ya mpaka, na mgawanyiko wa ndani. Kuongezeka kwa kutisha katika uhasama Bwana Grundberg…