Rushwa ya Serikali Inasababisha Mgogoro wa Haki za Binadamu Katika Sudani Kusini, Jopo Huru hupata – Maswala ya Ulimwenguni

Kulingana na miaka miwili ya uchunguzi wa kujitegemea na uchambuzi, ripoti Inafunua jinsi mapato ya mafuta na yasiyo ya mafuta yanavyoondolewa kupitia miradi ya opaque na mikataba iliyounganishwa kisiasa. Wakati huo huo, mamilioni ya Sudan Kusini wananyimwa huduma za msingi. “Ripoti yetu inasimulia hadithi ya uporaji wa taifa: ufisadi sio wa bahati mbaya, ni injini…

Read More

Gamondi aanza kunogewa | Mwanaspoti

KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi, amesema kutwaa ubingwa wa kwanza na klabu hiyo ndani ya mwezi mmoja tangu kuteuliwa kuinoa ni jambo linalomfanya ajisikie furaha akijivunia mradi wa kujenga kikosi imara kitakachoshindana ndani na nje. Gamondi aliiongoza Singida juzi Jumatatu kutwaa ubingwa wa mashindano ya Cecafa Kagame, taji ambalo ameliita kuwa mwanzo mzuri…

Read More

Ligi Kuu 2025/26: Mechi hizi sio za kuzikosa

MSIMU mpya wa 2025-2026 wa Ligi Kuu Bara unaanza leo Jumatano Septemba 17, 2025, huku ukitazamiwa kuongezeka kwa ushindani kutokana na timu 16 shiriki kusajili wachezaji bora wenye uzoefu katika vikosi hivyo. Wakati ratiba hiyo ikitoka kuashiria kwa msimu wa 2025-2026, Mwanaspoti linakuletea baadhi ya mechi kali na za kusisimua ambazo kama shabiki au mdau…

Read More

Ligi Kuu Bara: Hawa mbona kazi wanayo!

MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara wa 2025-2026 unaanza leo ukiwa ni wa 62 tangu ilipoanza 1965. Kila timu kati ya 16 zinazoshiriki zinaanza hesabu mpya kuwania pointi 90 kupitia mechi 30 kila moja, kukiunda na jumla ya mechi 240 kwa msimu mzima. Klabu zinazoshiriki ni watetezi Yanga, Simba, Azam, Singida Black Stars, Tabora United,…

Read More

Maema, Camara washindwa kujizuia | Mwanaspoti

NYOTA wapya wa Simba, Neo Maema na Naby Camara wameeleza vile walivyo na shauku ya kucheza Ligi Kuu Bara mara ya kwanza huku wakiwa na malengo ya kuisaidia timu hiyo kurejesha heshima. Kwa misimu minne mfululizo, Simba imekuwa ikishuhudia Yanga ikitwaa ubingwa wa ligi jambo ambalo wadai linawapa hamasa kupigania kurejesha makali ya Msimbazi. Maema,…

Read More

Mkutano wa Doha utawezesha kuizima Israel?

Doha. Linaweza kuwa swali la kizushi. Je, mkutano wa dharura uliokutananisha mataifa ya Kiarabu na Kiislamu Doha nchini Qatar unaweza kudhoofisha ubabe wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu. Ni mkutano uliokuwa chini ya uenyekiti wa Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani baada ya Israel kuishambulia Doha wiki moja iliyopita na kusababisha…

Read More