
Halmashauri ya Mbulu Yatangaza Nafasi 4 za Dereva – Global Publishers
Last updated Sep 17, 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 4 Majukumu: Kukagua gari kabla/baada ya safari. Kuwapeleka…