……..
Na Ester Maile, Dodoma
Watu tisa wamefariki Dunia mapema Leo asubuhi katika kijiji cha Kambi ya Nyasa wilaya ya Chemba mkoa.wa Dodoma.
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ROSEMARY SENYAMULE amesema watu watano akiwemo dereva wa basi walifariki hapo hapo na wengine wanne wamefariki baada ya kufikishwa hospitalini.